Thursday, November 27, 2008
Monday, November 24, 2008
VIDONDA VYA TUMBO NA PRESHA YA KUPANDA
Kwanza nashukuru kwa kupata muda wa kuwasiliana na jamaa wote ambao wanapenda mtandao hasa blogs. Pia nawapa pole wale wote wanaosumbuliwa na maradhi ya vidonda vya tumbo na presha ya kupanda.
Najitambulisha kwenu kuwa mimi ni Yussuf H. Kombo. Mzaliwa wa Zanzibar - Tanzania. Kitaalam mimi ni bwana miti ambae nimejikita katika fani ya dawa za miti shamba " the herbalist". Nina uzowefu wa karibu maradhi mbali mbali kwa miaka 20 sasa na naifahamu fani hii vilivyo. Elimu yangu ni kiwango cha digrii ya pili MSc. ambayo nimepata katika chuo cha Bangor UK - 1994. Nafanya kazi ya kutibu hapa Zanzibar na hutibu vidonda vya tumbo, presha ya kupanda, mgolo, bawasili, mjiko, ukosefu wa kizazi kwa wanawake, kushuka nyama ukeni, nguvu za kiume, pumu na hata mlango wa kizazi kwa wanawake. Nimetibu pia maradhi ya kuziba kwa mkojo
Lengo langu katika mada ya leo ni kuwafahamisha wale wote ambao kwa sababu moja ama nyengine wanasumbuliwa na vidonda vya tumbo kuwa maradhi haya yanatibika kirahisi kwa kutumia miti shamba. Mimi hutumia dawa ya miti shamba iitwayo MEGA DOSE na inamaliza tatizo hili kwa muda mfupi sana. Pia dawa hii kuwasaidia sana wale wenye tatizo la gesi na hata presha ya kupanda.
Mara nyimgi hutembelea Dar es salaama na kutoa huduma. Mara zote hufikia Hotel Sayari au Keys hotel.
Kama unashida kama hii au yoyote ile ya kiafya niandike kwa email: yhkombo@yahoo.com au pia simu +255 713 459447
Jina langu kamili ni Yussuf H. Kombo
Shukrani

Subscribe to:
Posts (Atom)